Psalms 81:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwapa watu wa Israeli agizo hilo, alipoishambulia nchi ya Misri. Nasikia sauti nisiyoitambua ikisema:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliiweka iwe kama sheria kwa Yusufu alipotoka dhidi ya Misri, huko tulikosikia lugha ambayo hatukuielewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aliamuru iwe ushuhuda katika Yusufu, Alipoondoka juu ya nchi ya Misri; Maneno yake nisiyemjua naliyasikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwapa watu wa Israeli agizo hilo, alipoishambulia nchi ya Misri. Nasikia sauti nisiyoitambua ikisema:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliiweka iwe kama sheria kwa Yosefu alipotoka dhidi ya Misri, huko tulikosikia lugha ambayo hatukuielewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliiweka iwe kama sheria kwa Yusufu alipotoka dhidi ya Misri, huko tulikosikia lugha ambayo hatukuielewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliamuru iwe ushuhuda katika Yusufu, Alipoondoka juu ya nchi ya Misri; Maneno yake nisiyemjua niliyasikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwapa watu wa Israeli agizo hilo, alipoishambulia nchi ya Misri. Nasikia sauti nisiyoitambua ikisema:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Isiraeli alivyoagizwa, ndivyo hivyo, navyo ndivyo vimpasavyo Mungu wa Yakobo;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aliamuru iwe ushuhuda katika Yusufu, Alipoondoka juu ya nchi ya Misri; Maneno yake nisiyemjua naliyasikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hilo ndilo sharti katika Israeli; hilo ndilo agizo la Mungu wa Yakobo.