Psalms 81:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mimi nilikutua mizigo yako mabegani, nilikuondolea matofali uliyochukua mikononi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Asema, “Nimeondoa mzigo mabegani mwao; mikono yao iliwekwa huru kutoka kwa kikapu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimelitenga bega lake na mzigo, Mikono yake ikaachana na kikapu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mimi nilikutua mizigo yako mabegani, nilikuondolea matofali uliyochukua mikononi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asema, “Nimeondoa mzigo mabegani mwao; mikono yao iliwekwa huru kutoka kwenye kikapu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asema, “Nimeondoa mzigo mabegani mwao; mikono yao iliwekwa huru kutoka kwenye kikapu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimeutua mzigo begani mwake; Mikono yake nikaiondolea kazi nzito.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mimi nilikutua mizigo yako mabegani, nilikuondolea matofali uliyochukua mikononi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndio ushuhuda, aliouweka kwao wa Yosefu, alipotokea katika nchi ya Misri, aipige. Hapo ndipo, niliposikia msemo, niliokuwa sijaujua:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimelitenga bega lake na mzigo, Mikono yake ikaachana na kikapu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwapa watu wa Israeli agizo hilo, aliposhambulia inchi ya Misri. Ninasikia sauti nisiyoitambua ikisema: