Psalms 81:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukiwa shidani uliniita, nami nikakuokoa. Nilikujibu nikiwa mafichoni katika ngurumo. Nilikujaribu kwenye maji ya Meriba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika shida yako uliniita nami nikakuokoa, nilikujibu katika mawingu yenye ngurumo; nilikujaribu katika maji ya Meriba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika shida uliniita nikakuokoa; Nalikuitikia katika sitara ya radi; Nalikujaribu penye maji ya Meriba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukiwa shidani uliniita, nami nikakuokoa. Nilikujibu nikiwa mafichoni katika ngurumo. Nilikujaribu kwenye maji ya Meriba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika shida yako uliniita nami nikakuokoa, nilikujibu katika mawingu yenye ngurumo; nilikujaribu katika maji ya Meriba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika shida yako uliniita nami nikakuokoa, nilikujibu katika mawingu yenye ngurumo; nilikujaribu katika maji ya Meriba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika shida uliniita nikakuokoa; Nilikuitikia kutoka maficho yangu ya radi; Nilikujaribu penye maji ya Meriba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukiwa shidani uliniita, nami nikakuokoa. Nilikujibu nikiwa mafichoni katika ngurumo. Nilikujaribu kwenye maji ya Meriba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huo mzigo wa begani kwake nimeuondoa, mikono yake ikaondoka kwenye makapu ya kuchukulia watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika shida uliniita nikakuokoa; Nalikuitikia katika sitara ya radi; Nalikujaribu penye maji ya Meriba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mimi nilikutua mizigo yako toka kwenye mabega, nilikuondolea matofali uliyochukua katika mikono.