Psalms 81:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi watu wangu, sikieni onyo langu. Laiti ungenisikiliza, ee Israeli!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Enyi watu wangu, sikieni, nami nitawaonya: laiti kama mngenisikiliza, ee Israeli!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi watu wangu, sikieni, nami nitawaonya, Ee Israeli, kama ukitaka kunisikiliza;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi watu wangu, sikieni onyo langu. Laiti ungenisikiliza, ee Israeli!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Enyi watu wangu sikieni, nami nitawaonya: laiti kama mngenisikiliza, Ee Israeli!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Enyi watu wangu, sikieni, nami nitawaonya: laiti kama mngenisikiliza, ee Israeli!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi watu wangu, sikieni, nami nitawaonya, Ee Israeli, kama ukitaka kunisikiliza;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi watu wangu, sikieni onyo langu. Laiti ungenisikiliza, ee Israeli!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uliponililia katika masongano, nimekuponya, nikakuitikia na kujificha katika mawingu yenye ngurumo, kwenye Maji ya Magomvi nikakujaribu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi watu wangu, sikieni, nami nitawaonya, Ee Israeli, kama ukitaka kunisikiliza;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika shida uliniita, nami nikakuokoa. Nilikujibu kutokea katika ngurumo. Nilikujaribu kwenye maji ya Meriba.