Psalms 81:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asiwepo kwako mungu wa kigeni; usiabudu kamwe mungu mwingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hamtakuwa na mungu mgeni miongoni mwenu; msimsujudie mungu wa kigeni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiwe na mungu mgeni ndani yako; Wala usimsujudie mungu mwingine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asiwepo kwako mungu wa kigeni; usiabudu kamwe mungu mwingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hamtakuwa na mungu mgeni miongoni mwenu; msimsujudie mungu wa kigeni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hamtakuwa na mungu mgeni miongoni mwenu; msimsujudie mungu wa kigeni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiwe na mungu mgeni ndani yako; Wala usimsujudie mungu mwingine.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asiwepo kwako mungu wa kigeni; usiabudu kamwe mungu mwingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikilizeni, mlio wa ukoo wangu, niwaonye! Isiraeli, sharti unisikie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiwe na mungu mgeni ndani yako; Wala usimsujudie mungu mwingine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi watu wangu, musikie onyo langu. Heri ungenisikiliza, ee Israeli!