Psalms 82:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Asafu) Mungu anasimamia baraza lake; anatoa hukumu katika kusanyiko la miungu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu anaongoza kusanyiko kuu, anatoa hukumu miongoni mwa “miungu”:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu asimama katika kusanyiko la Mungu; Katikati ya miungu anahukumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu anasimamia baraza lake; anatoa hukumu katika kusanyiko la miungu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Asafu) Mungu anaongoza kusanyiko kuu, anatoa hukumu miongoni mwa “miungu”:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu anaongoza kusanyiko kuu, anatoa hukumu miongoni mwa “miungu”:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu asimama katika kusanyiko la Mungu; Katikati ya miungu anahukumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu anasimamia baraza lake; anatoa hukumu katika kusanyiko la miungu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu anasimama katika mkutano wao miungu mwingine, atoe hukumu katikati yao hiyo miungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu asimama katika kusanyiko la Mungu; Katikati ya miungu anahukumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Asafu. Mungu anasimamia baraza lake. Anatoa hukumu katika kusanyiko la miungu: