Psalms 82:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wapeni wanyonge na yatima haki zao; tekelezeni haki za wanaoonewa na fukara.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Teteeni wanyonge na yatima, tunzeni haki za maskini na waliodhulumiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfanyieni hukumu maskini na yatima; Mtendeeni haki aliyeonewa na fukara;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wapeni wanyonge na yatima haki zao; tekelezeni haki za wanaoonewa na fukara.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Teteeni wanyonge na yatima, tunzeni haki za maskini na walioonewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Teteeni wanyonge na yatima, tunzeni haki za maskini na walioonewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfanyieni hukumu maskini na yatima; Mtendeeni haki aliyeonewa, na fukara;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wapeni wanyonge na yatima haki zao; tekelezeni haki za wanaoonewa na fukara.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waamulieni wakorofikao nao wafiwao na wazazi! Wanyonge na maskini watengenezeeni mashauri kwa wongofu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfanyieni hukumu maskini na yatima; Mtendeeni haki aliyeonewa na fukara;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muimarishe sheria yangu kwa wazaifu na wayatima; muwatendee wasiojiweza na wamasikini kwa haki.