Psalms 82:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini nyinyi hamjui wala hamfahamu! Nyinyi mnatembea katika giza la upotovu! Misingi yote ya haki duniani imetikiswa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hawajui lolote, hawaelewi lolote. Wanatembea gizani; misingi yote ya dunia imetikisika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawajui wala hawafahamu, hutembea gizani; Misingi yote ya nchi imetikisika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini nyinyi hamjui wala hamfahamu! Nyinyi mnatembea katika giza la upotovu! Misingi yote ya haki duniani imetikiswa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hawajui lo lote, hawaelewi lo lote. Wanatembea gizani, misingi yote ya dunia imetikisika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hawajui lolote, hawaelewi lolote. Wanatembea gizani; misingi yote ya dunia imetikisika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawajui wala hawafahamu, hutembea gizani; Misingi yote ya nchi imetikisika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini nyinyi hamjui wala hamfahamu! Nyinyi mnatembea katika giza la upotovu! Misingi yote ya haki duniani imetikiswa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hawavitambui, wala hawaonyeki, ila hujiendea gizani, ijapo, shikizi zote za nchi zije kutikisika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawajui wala hawafahamu, hutembea gizani; Misingi yote ya nchi imetikisika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Lakini ninyi hamujui wala hamufahamu! Ninyi munatembea katika giza la upotovu! Misingi yote ya haki katika dunia imetikiswa!