Psalms 82:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nilisema kuwa nyinyi ni miungu; kwamba nyote ni watoto wa Mungu Mkuu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nilisema, ‘Ninyi ni “miungu”; ninyi nyote ni wana wa Aliye Juu Sana.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi nimesema, Ndinyi miungu, Na wana wa Aliye juu, nyote pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nilisema kuwa nyinyi ni miungu; kwamba nyote ni watoto wa Mungu Mkuu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nilisema, ‘Ninyi ni “miungu”; ninyi nyote ni wana wa Aliye Juu Sana.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nilisema, ‘Ninyi ni “miungu”; ninyi nyote ni wana wa Aliye Juu Sana.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi nimesema, Ndinyi miungu, Na wana wa Aliye Juu, enyi nyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nilisema kuwa nyinyi ni miungu; kwamba nyote ni watoto wa Mungu Mkuu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nilisema: Ninyi m miungu, nyote m wanawe Alioko huko juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi nimesema, Ndinyi miungu, Na wana wa Aliye juu, nyote pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nilisema kwamba ninyi ni miungu, kwamba ninyi wote ni wana wa Mungu Mukubwa!