Psalms 82:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo, mtakufa kama watu wote; mtaanguka kama mkuu yeyote.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mtakufa kama wanadamu wa kawaida; mtaanguka kama mtawala mwingine yeyote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mtakufa kama wanadamu, Mtaanguka kama mmoja wa wakuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo, mtakufa kama watu wote; mtaanguka kama mkuu yeyote.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mtakufa kama wanadamu wa kawaida; mtaanguka kama mtawala mwingine ye yote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mtakufa kama wanadamu wa kawaida; mtaanguka kama mtawala mwingine yeyote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mtakufa kama wanadamu, Mtaanguka kama mmoja wa wakuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo, mtakufa kama watu wote; mtaanguka kama mkuu yeyote.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mtakufa kweli kama wana wa watu, mtaanguka kama m wenzao walio wakuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mtakufa kama wanadamu, Mtaanguka kama mmoja wa wakuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo, mutakufa kama watu wote; mutaanguka kama mukubwa yeyote.”