Psalms 82:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Inuka ee Mungu, uuhukumu ulimwengu; maana mataifa yote ni mali yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, inuka uihukumu nchi, kwa kuwa mataifa yote ni urithi wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, usimame, uihukumu nchi, Maana Wewe utawarithi mataifa yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Inuka ee Mungu, uuhukumu ulimwengu; maana mataifa yote ni mali yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, inuka uihukumu nchi, kwa kuwa mataifa yote ni urithi wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, inuka uihukumu nchi, kwa kuwa mataifa yote ni urithi wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, usimame, uihukumu nchi, Maana mataifa yote ni yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Inuka ee Mungu, uuhukumu ulimwengu; maana mataifa yote ni mali yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inuka, Mungu! Ihukumu nchi! Kwani mwenye wamizimu wote ndiwe wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, usimame, uihukumu nchi, Maana Wewe utawarithi mataifa yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Simama sasa, ee Mungu, uuhukumu ulimwengu; maana mataifa yote ni mali yako.