Psalms 83:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
watu uliowaangamiza kule Endori, wakawa takataka juu ya nchi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambao waliangamia huko Endori na wakawa kama kinyesi juu ya ardhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ambao waliangamizwa Endori; Wakawa samadi juu ya nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
watu uliowaangamiza kule Endori, wakawa takataka juu ya nchi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambao waliangamia huko Endori na wakawa kama takataka juu ya nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambao waliangamia huko Endori na wakawa kama takataka juu ya nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ambao waliangamizwa Endori; Wakawa samadi juu ya nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
watu uliowaangamiza kule Endori, wakawa takataka juu ya nchi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kule Endori ndiko, walikoangamizwa, wakawa mbolea tu ya kuotesha mchanga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ambao waliangamizwa Endori; Wakawa samadi juu ya nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwatendee ulivyowatendea Wamidiani, ulivyowatendea Sisera na Mufalme Asikie kwenye muto Kisoni,