Psalms 83:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwatende wakuu wao kama Orebu na Zeebu; watawala wao wote kama Zeba na Zalmuna,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafanye wakuu wao kama Orebu na Zeebu, watawala wao kama Zeba na Salmuna,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwafanye wakuu wao kama Orebu na Zeebu, Na masheki yao wote kama Zeba na Zalmuna.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwatende wakuu wao kama Orebu na Zeebu; watawala wao wote kama Zeba na Zalmuna,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafanye wakuu wao kama Orebu na Zebu, watawala wao kama Zeba na Zalmuna,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafanye wakuu wao kama Orebu na Zeebu, watawala wao kama Zeba na Salmuna,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwafanye wakuu wao kama Orebu na Zeebu, Na wakuu wao wote kama Zeba na Zalmuna.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwatende wakuu wao kama Orebu na Zeebu; watawala wao wote kama Zeba na Zalmuna,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo, ulivyomfanyizia Orebu na Zebu vifanyizie wakuu wao! Vile vya Zeba na Salmuna, vifanyizie wafalme wao wote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwafanye wakuu wao kama Orebu na Zeebu, Na masheki yao wote kama Zeba na Zalmuna.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
watu uliowaangamiza kule Endori, wakakuwa takataka juu ya inchi.