Psalms 83:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mungu wangu, uwafanye kama vumbi; kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu wangu, wapeperushe kama mavumbi ya kisulisuli, kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, uwafanye kama mavumbi ya kisulisuli, Mithili ya makapi mbele ya upepo,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu wangu, uwafanye kama vumbi; kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu wangu, wapeperushe kama mavumbi ya kisulisuli, kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu wangu, wapeperushe kama mavumbi ya kisulisuli, kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, uwafanye kama mavumbi ya kisulisuli, Kama ya makapi mbele ya upepo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu wangu, uwafanye kama vumbi; kama makapi yapeperushwayo na upepo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu wangu, wafanye kuwa mavumbi yachukuliwayo na kimbunga au kuwa makapi, yakipeperushwa na upepo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, uwafanye kama mavumbi ya kisulisuli, Mithili ya makapi mbele ya upepo,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ambao walisema: “Tutajitwalia inchi ya Mungu.”