Psalms 83:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
uwakimbize hao kwa tufani yako, na kuwatisha kwa kimbunga chako!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wafuatilie kwa tufani yako na kuwafadhaisha kwa dhoruba yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo utakavyowafuatia kwa tufani yako, Na kuwafadhaisha kwa dhoruba yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
uwakimbize hao kwa tufani yako, na kuwatisha kwa kimbunga chako!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa hiyo wafuatilie kwa tufani yako na kuwafadhaisha kwa dhoruba yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wafuatilie kwa tufani yako na kuwafadhaisha kwa dhoruba yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo utakavyowafuatia kwa tufani yako, Na kuwafadhaisha kwa dhoruba yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
uwakimbize hao kwa tufani yako, na kuwatisha kwa kimbunga chako!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vivyo hivyo uwakimbize kwa nguvu zako zilizo za kimbunga! Uwastushe, wazimie kwa nguvu zako zilizo za chamchela!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo utakavyowafuatia kwa tufani yako, Na kuwafadhaisha kwa dhoruba yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile moto unavyoteketeza pori, na ndimi za moto zinavyounguza milima,