Psalms 83:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uzijaze nyuso zao fedheha, wapate kukutafuta, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Funika nyuso zao kwa aibu ili watu walitafute jina lako, Ee Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwajaze nyuso zao fedheha; Wakalitafute jina lako, Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uzijaze nyuso zao fedheha, wapate kukutafuta, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Funika nyuso zao kwa aibu ili watu walitafute jina lako, Ee BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Funika nyuso zao kwa aibu ili watu walitafute jina lako, Ee bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uzijaze nyuso zao fedheha; Ili wapate kulitafuta jina lako, Ee BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uzijaze nyuso zao fedheha, wapate kukutafuta, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyuso zao sharti ziwaive kwa kutwezwa, mpaka walitafute Jina lako, wewe Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwajaze nyuso zao fedheha; Wakalitafute jina lako, BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
uwakimbize hao kwa zoruba yako, na kuwatisha kwa upepo wako mukali!