Psalms 83:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waone fedheha na kuhangaika milele, waangamie kwa aibu kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao na waaibishwe na kufadhaishwa milele, na waangamie kwa aibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waaibike, wafadhaike milele, Naam, watahayarike na kupotea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waone fedheha na kuhangaika milele, waangamie kwa aibu kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao na waaibishwe na kufadhaishwa, wao na waangamie kwa aibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao na waaibishwe na kufadhaishwa milele, na waangamie kwa aibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waaibike, wafadhaike milele, Naam, watahayarike na kupotea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waone fedheha na kuhangaika milele, waangamie kwa aibu kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti wapatwe na soni pamoja na mastuko kale na kale! Sharti waumbuliwe, mpaka waangamie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waaibike, wafadhaike milele, Naam, watahayarike na kupotea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ujaze nyuso zao haya, wapate kukutafuta, ee Yawe.