Psalms 83:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wajue kwamba wewe peke yako ambaye jina lako ni Mwenyezi-Mungu, ndiwe Mungu Mkuu juu ya dunia yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hebu wajue kuwa wewe, ambaye jina lako ni Mwenyezi Mungu, kwamba wewe peke yako ndiwe Uliye Juu Sana ya dunia yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wajue ya kuwa Wewe, uitwaye jina lako YEHOVA, Ndiwe peke yako Uliye juu, juu ya nchi yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wajue kwamba wewe peke yako ambaye jina lako ni Mwenyezi-Mungu, ndiwe Mungu Mkuu juu ya dunia yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Na wajue kwamba wewe, ambaye jina lako ni BWANA, kwamba wewe peke yako ndiwe Uliye Juu Sana ya dunia yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hebu wajue kwamba wewe, ambaye jina lako ni bwana, kwamba wewe peke yako ndiwe Uliye Juu Sana ya dunia yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wajue ya kuwa Wewe, uitwaye jina lako YEHOVA, Ndiwe peke yako Uliye Juu, juu ya nchi yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wajue kwamba wewe peke yako ambaye jina lako ni Mwenyezi-Mungu, ndiwe Mungu Mkuu juu ya dunia yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, watu watakavyolitambua Jina lako kuwa Bwana, kwa kuwa wewe peke yako u mkuu katika nchi zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wajue ya kuwa Wewe, uitwaye jina lako YEHOVA, Ndiwe peke yako Uliye juu, juu ya nchi yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafezeheke na kuhangaika milele, waangamie kwa haya kabisa.