Psalms 83:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama! Maadui zako wanafanya ghasia; wanaokuchukia wanainua vichwa kwa kiburi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama watesi wako wanafanya fujo, jinsi adui zako wanavyoinua vichwa vyao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana adui zako wanafanya ghasia, Nao wakuchukiao wameviinua vichwa vyao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama! Maadui zako wanafanya ghasia; wanaokuchukia wanainua vichwa kwa kiburi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama watesi wako wanafanya fujo, jinsi adui zako wanavyoinua vichwa vyao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama watesi wako wanafanya fujo, jinsi adui zako wanavyoinua vichwa vyao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana adui zako wanafanya ghasia, Nao wakuchukiao wameviinua vichwa vyao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama! Maadui zako wanafanya ghasia; wanaokuchukia wanainua vichwa kwa kiburi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani tazama, adui zako wanafanya fujo! Wachukivu wako wanainua vichwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana adui zako wanafanya ghasia, Nao wakuchukiao wameviinua vichwa vyao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, usikae kimya! Usinyamaze, ee Mungu, wala usitulie!