Psalms 83:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanapanga kwa hila kuwadhuru watu wako; wanashauriana dhidi ya hao unaowalinda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa ujanja, wanapanga njama dhidi ya watu wako; wanapanga hila dhidi ya wale unaowapenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Juu ya watu wako wanafanya hila, Na kushauriana juu yao uliowaficha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanapanga kwa hila kuwadhuru watu wako; wanashauriana dhidi ya hao unaowalinda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hila wanafanya shauri dhidi ya watu wako, wanafanya shauri baya dhidi ya wale unaowapenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hila, wanafanya shauri dhidi ya watu wako, wanafanya shauri baya dhidi ya wale unaowapenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Juu ya watu wako wanafanya hila, Na kushauriana juu yao uliowaficha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanapanga kwa hila kuwadhuru watu wako; wanashauriana dhidi ya hao unaowalinda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanakula njama ya kuwaangamiza walio ukoo wako, wanawapigia mashauri mabaya wao, uliowaficha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Juu ya watu wako wanafanya hila, Na kushauriana juu yao uliowaficha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia! Waadui zako wanafanya fujo; wanaokuchukia wanainua vichwa kwa kiburi.