Psalms 83:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanasema: “Njoni tuliangamize taifa lao, jina la Israeli lisikumbukwe tena.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanasema, “Njooni, tuwaangamize kama taifa, ili jina la Israeli lisikumbukwe tena.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamesema, Njoni, tuwakatilie mbali wasiwe taifa, Na jina la Israeli halitakumbukwa tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanasema: “Njoni tuliangamize taifa lao, jina la Israeli lisikumbukwe tena.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanasema, “Njoni, tuwaangamize kama taifa, ili jina la Israeli lisikumbukwe tena.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanasema, “Njooni, tuwaangamize kama taifa, ili jina la Israeli lisikumbukwe tena.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamesema, Njoni, tuwakatilie mbali wasiwe taifa, Na jina la Israeli halitakumbukwa tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanasema: “Njoni tuliangamize taifa lao, jina la Israeli lisikumbukwe tena.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanasema: Njoni, tuwang'oe, kabila lao life! Jina la Isiraeli lisikumbukwe tena!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamesema, Njoni, tuwakatilie mbali wasiwe taifa, Na jina la Israeli halitakumbukwa tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanafanya mipango mibaya kwa kuwazuru watu wako; wanashauriana juu ya hao unaowalinda.