Psalms 83:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, wanakubaliana kwa moyo mmoja, wanakula kiapo dhidi yako:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nia moja wanapanga njama pamoja, wanafanya muungano dhidi yako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana wanashauriana kwa moyo mmoja, Juu yako wanafanyana agano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, wanakubaliana kwa moyo mmoja, wanakula kiapo dhidi yako:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nia moja wanapanga pamoja mashauri mabaya, wanafanya muungano dhidi yako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nia moja wanapanga mashauri mabaya pamoja, wanafanya muungano dhidi yako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana wanashauriana kwa moyo mmoja, Juu yako wanafanya agano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, wanakubaliana kwa moyo mmoja, wanakula kiapo dhidi yako:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli mioyo yao wote ililipatana neno hili moja, wakafanya maagano, wakupelekee vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana wanashauriana kwa moyo mmoja, Juu yako wanafanyana agano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanasema: “Mukuje tuangamize taifa lao, hata jina la Israeli lisikumbukwe tena.”