Psalms 83:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Edomu na Waishmaeli, Wamoabu na watu wa Hagari;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mahema ya Edomu na Waishmaeli, ya Wamoabu na Wahagari,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hema za Edomu, na Waishmaeli, Na Moabu, na Wahagari,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
watu wa Edomu na Waishmaeli, Wamoabu na watu wa Hagari;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mahema ya Edomu na Waishmaeli, ya Wamoabu na Wahagari,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mahema ya Edomu na Waishmaeli, ya Wamoabu na Wahagari,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hema za Edomu, na Waishmaeli, Na Moabu, na Wahagari,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Edomu na Waishmaeli, Wamoabu na watu wa Hagari;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni wao wakaao katika mahema: Waedomu na Waisimaeli, Wamoabu nao wao walio Wahagri,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hema za Edomu, na Waishmaeli, Na Moabu, na Wahagari,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli, wanakubaliana kwa moyo moja, wanafanya mapatano juu yako: