Psalms 83:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
watu wa Gebali, Amoni na Amaleki, watu wa Filistia na wakazi wa Tiro.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Gebali, Amoni na Amaleki, Ufilisti, pamoja na watu wa Tiro.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Gebali, na Amoni, na Amaleki, Na Filisti, nao wanaokaa Tiro,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
watu wa Gebali, Amoni na Amaleki, watu wa Filistia na wakazi wa Tiro.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Gebali, Amoni na Ameleki, Ufilisti, pamoja na watu wa Tiro.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Gebali, Amoni na Amaleki, Ufilisti, pamoja na watu wa Tiro.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Gebali, na Amoni, na Amaleki, Na Filisti, nao wanaokaa Tiro,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
watu wa Gebali, Amoni na Amaleki, watu wa Filistia na wakazi wa Tiro.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena Wagebali na Waamoni, nao Waamaleki, Wafilisti pamoja nao wakaao Tiro.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Gebali, na Amoni, na Amaleki, Na Filisti, nao wanaokaa Tiro,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waedomu na Waisimaeli, Wamoabu na Wahagari;