Psalms 83:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata Ashuru imeshirikiana nao, imewaunga mkono wazawa wa Loti!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata Ashuru wameungana nao kuwapa nguvu wazao wa Lutu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ashuri naye amepatana nao, Wamewasaidia wana wa Lutu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata Ashuru imeshirikiana nao, imewaunga mkono wazawa wa Loti!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia Ashuru wameungana nao kuwapa nguvu wazao wa Loti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata Ashuru wameungana nao kuwapa nguvu wazao wa Lutu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ashuri naye amepatana nao, Wamewasaidia wana wa Lutu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata Ashuru imeshirikiana nao, imewaunga mkono wazawa wa Loti!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika hilo shauri lao wakajitia nao Waasuri; nao ndio wanaowatumikia wana wa Loti kuwa mikono yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ashuri naye amepatana nao, Wamewasaidia wana wa Lutu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wagebali, Waamoni na Waamaleki, Wafilistini na wakaaji wa Tiro.