Psalms 83:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwatende ulivyowatenda watu wa Midiani, ulivyowatenda Sisera na Yabini mtoni Kishoni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uwatendee kama vile ulivyowatendea Midiani, na kama vile ulivyowatendea Sisera na Yabini hapo kijito cha Kishoni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwatende kama Midiani, kama Sisera, Kama Yabini, penye kijito Kishoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwatende ulivyowatenda watu wa Midiani, ulivyowatenda Sisera na Yabini mtoni Kishoni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uwatendee kama vile ulivyowatendea Midiani, na kama vile ulivyowatendea Sisera na Yabini penye kijito cha Kishoni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uwatendee kama vile ulivyowatendea Midiani, na kama vile ulivyowatendea Sisera na Yabini hapo kijito cha Kishoni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwatende kama ulivyowatenda Midiani, Sisera, Na Yabini, penye kijito cha Kishoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwatende ulivyowatenda watu wa Midiani, ulivyowatenda Sisera na Yabini mtoni Kishoni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama ulivyowafanyizia Wamidiani, wafanyizie nao, au kama ulivyomfanyizia Sisera na Yabini kule mtoni kwa Kisoni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwatende kama Midiani, kama Sisera, Kama Yabini, penye kijito Kishoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata Waasuria wameshirikiana nao, wamewaunga mukono wazao wa Loti!