Psalms 84:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi, heri mtu yule anayekutumainia wewe!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, heri mtu anayekutumaini wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana wa majeshi, Heri mwanadamu anayekutumaini Wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi, heri mtu yule anayekutumainia wewe!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA Mwenye Nguvu Zote, heri ni mtu yule anayekutumaini wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana Mwenye Nguvu Zote, heri ni mtu yule anayekutumaini wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA wa majeshi, Heri mwanadamu anayekutumaini Wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi, heri mtu yule anayekutumainia wewe!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana Mungu ni jua na ngao, Bwana hutugawia nao utukufu, wanaoendelea wakimcha hawanyimi chema cho chote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA wa majeshi, Heri mwanadamu anayekutumaini Wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe Mungu ni jua na ngao yetu. Anatukubali na anatupatia utukufu. Hawanyimi kitu chochote kizuri wale wanaoishi katika ukamilifu.