Psalms 84:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nafsi yangu yatamani mno maskani ya Mwenyezi-Mungu! Moyo na mwili wangu wote wamshangilia Mungu aliye hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nafsi yangu inatamani sana, naam, hata kuona shauku, kwa ajili ya nyua za Mwenyezi Mungu; moyo wangu na mwili wangu vinamlilia Mungu Aliye Hai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nafsi yangu imezionea shauku nyua za Bwana, Naam, na kuzikondea. Moyo wangu na mwili wangu Vinamlilia Mungu aliye hai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nafsi yangu yatamani mno maskani ya Mwenyezi-Mungu! Moyo na mwili wangu wote wamshangilia Mungu aliye hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nafsi yangu inatamani sana, naam, hata kuona shauku, kwa ajili ya nyua za BWANA; moyo wangu na mwili wangu vinamlilia Mungu Aliye Hai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nafsi yangu inatamani sana, naam, hata kuona shauku, kwa ajili ya nyua za bwana; moyo wangu na mwili wangu vinamlilia Mungu Aliye Hai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nafsi yangu imezionea shauku nyua za BWANA, Naam, na kuzikondea. Moyo wangu na mwili wangu Vinamlilia Mungu aliye hai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nafsi yangu yatamani mno maskani ya Mwenyezi-Mungu! Moyo na mwili wangu wote wamshangilia Mungu aliye hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Hapo, unapokaa, Bwana Mwenye vikosi, ndipo pazuri peke yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nafsi yangu imezionea shauku nyua za BWANA, Naam, na kuzikondea. Moyo wangu na mwili wangu Vinamlilia Mungu aliye hai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe wa majeshi, kweli makao yako yanapendeza!