Psalms 84:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri wale wanaokaa nyumbani mwako, wakiimba daima sifa zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri wale wanaokaa nyumbani mwako, wanaokusifu wewe daima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri wakaao nyumbani mwako, Wanakuhimidi daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri wale wanaokaa nyumbani mwako, wakiimba daima sifa zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heri wale wanaokaa nyumbani mwako, wanaokusifu wewe daima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri wale wanaokaa nyumbani mwako, wanaokusifu wewe daima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri wakaao nyumbani mwako, Wanakuhimidi daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri wale wanaokaa nyumbani mwako, wakiimba daima sifa zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumbe ndege ameona nyumba, kinega akajipatia kiota, ndimo, atakamozaa makinda yake: ndipo, unapotambikiwa wewe, Bwana Mwenye vikosi, uliye mfalme wangu na Mungu wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri wakaao nyumbani mwako, Wanakuhimidi daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Karibu na mazabahu zako, ee Yawe wa majeshi, mufalme wangu na Mungu wangu, hata kichororo ana makao yake, naye mbaruwayi amejenga chicha yake ambamo anaweka vitoto vyake,