Psalms 84:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri watu wanaopata nguvu zao kwako, wanaotamani kwenda kuhiji mlimani kwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri wale ambao nguvu zao ziko kwako, na njia ziendazo Sayuni zimo mioyoni mwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri ambaye nguvu zake zatoka kwako, Na njia ziendazo Sayuni zimo moyoni mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri watu wanaopata nguvu zao kwako, wanaotamani kwenda kuhiji mlimani kwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heri ni wale ambao nguvu zao ziko kwako, na njia ziendazo Sayuni zimo mioyoni mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri wale ambao nguvu zao ziko kwako, na njia ziendazo Sayuni zimo mioyoni mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri ambaye nguvu zake zatoka kwako, Na njia ziendazo Sayuni zimo moyoni mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri watu wanaopata nguvu zao kwako, wanaotamani kwenda kuhiji mlimani kwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenye shangwe ndio wakaao katika Nyumba yako, wanaokushangilia pasipo kukoma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri ambaye nguvu zake zatoka kwako, Na njia ziendazo Sayuni zimo moyoni mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri wale wanaokaa ndani ya nyumba yako, wakiimba sifa zako siku zote.