Psalms 84:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wapitapo katika bonde kavu la Baka, hulifanya kuwa mahali pa chemchemi, na mvua za vuli hulijaza madimbwi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanapopita katika Bonde la Baka, hulifanya mahali pa chemchemi, pia mvua za vuli hulijaza kwa madimbwi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakipita kati ya bonde la Vilio, Hulifanya kuwa chemchemi, Naam, mvua ya vuli hulivika baraka
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wapitapo katika bonde kavu la Baka, hulifanya kuwa mahali pa chemchemi, na mvua za vuli hulijaza madimbwi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanapopita katika Bonde la Baka, hulifanya mahali pa chemchemi, pia mvua za vuli hulijaza kwa madimbwi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanapopita katika Bonde la Baka, hulifanya mahali pa chemchemi, pia mvua za vuli hulijaza kwa madimbwi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wapitapo katika bonde la baraka, Hulifanya kuwa chemchemi, Naam, mvua ya vuli hulijaza baraka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wapitapo katika bonde kavu la Baka, hulifanya kuwa mahali pa chemchemi, na mvua za vuli hulijaza madimbwi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenye shangwe ndio wajitafutiao nguvu kwako wewe, wawazao mioyoni mwao, jinsi watakavyofika kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakipita kati ya bonde la Vilio, Hulifanya kuwa chemchemi, Naam, mvua ya vuli hulivika baraka
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri watu wanaopata nguvu zao kwako, wanaotamani kusafiri kwa kuabudu kwa mulima wako.