Psalms 84:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanaendelea kupata nguvu zaidi na zaidi; watamwona Mungu wa miungu huko Siyoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huendelea toka nguvu hadi nguvu, hadi kila mmoja afikapo mbele za Mungu huko Sayuni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huendelea toka nguvu hata nguvu, Huonekana Sayuni kila mmoja mbele za Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanaendelea kupata nguvu zaidi na zaidi; watamwona Mungu wa miungu huko Siyoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huendelea toka nguvu hadi nguvu, hadi kila mmoja afikapo mbele za Mungu huko Sayuni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huendelea toka nguvu hadi nguvu, hadi kila mmoja afikapo mbele za Mungu huko Sayuni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huendelea toka nguvu hata nguvu, Huonekana Sayuni kila mmoja mbele za Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanaendelea kupata nguvu zaidi na zaidi; watamwona Mungu wa miungu huko Siyoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo, wapite katika bonde lilizalo wengine, hulitumia kuwa kisima cha kuwanywesha maji, kwani mvua ya vuli hulichipuza nalo na kulipatia mbaraka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huendelea toka nguvu hata nguvu, Huonekana Sayuni kila mmoja mbele za Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanapopita katika bonde lenye kukauka la Baka, wanalifanya kuwa chemichemi, nazo mvua za kwanza zinalijaza maji.