Psalms 84:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usikie sala yangu ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi; unitegee sikio, ee Mungu wa Yakobo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, sikia maombi yangu; nisikilize, Ee Mungu wa Yakobo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, Mungu wa majeshi, uyasikie maombi yangu, Ee Mungu wa Yakobo, usikilize,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usikie sala yangu ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi; unitegee sikio, ee Mungu wa Yakobo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA Mungu Mwenye Nguvu Zote, sikia maombi yangu; nisikilize, Ee Mungu wa Yakobo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, sikia maombi yangu; nisikilize, Ee Mungu wa Yakobo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, Mungu wa majeshi, uyasikie maombi yangu, Ee Mungu wa Yakobo, usikilize, wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usikie sala yangu ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi; unitegee sikio, ee Mungu wa Yakobo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huendelea na kuongeza nguvu mara kwa mara, mpaka wamtokee Mungu kule Sioni na kumwambia:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, Mungu wa majeshi, uyasikie maombi yangu, Ee Mungu wa Yakobo, usikilize,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanaendelea wakipata nguvu zaidi na zaidi: watamwona Mungu wa miungu huko Sayuni.