Psalms 84:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mungu, umwangalie kwa wema ngao yetu mfalme, umtazame huyo uliyemweka wakfu kwa mafuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, uitazame ngao yetu, mtazame kwa wema mpakwa mafuta wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, ngao yetu, uangalie, Umtazame uso masihi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu, umwangalie kwa wema ngao yetu mfalme, umtazame huyo uliyemweka wakfu kwa mafuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, uitazame ngao yetu, mtazame kwa wema mpakwa mafuta wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, uitazame ngao yetu, mtazame kwa wema mpakwa mafuta wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, ngao yetu, uangalie, Umtazame uso masihi
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu, umwangalie kwa wema ngao yetu mfalme, umtazame huyo uliyemweka wakfu kwa mafuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu Mwenye vikosi, sikiliza ninayokuomba! Tega masikio, Mungu wa Yakobo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, ngao yetu, uangalie, Umtazame uso masihi wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usikie maombi yangu, ee Yawe, Mungu wa majeshi! Unitegee sikio, ee Mungu wa Yakobo.