Psalms 85:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Wakorahi) Ee Mwenyezi-Mungu, umeifadhili nchi yako; umemjalia Yakobo bahati nzuri tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, ulionesha wema kwa nchi yako. Ulimrejeshea Yakobo baraka zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, umeiridhia nchi yako, Umewarejeza mateka wa Yakobo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, umeifadhili nchi yako; umemjalia Yakobo bahati nzuri tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Wana Wa Kora) Ee BWANA, ulionyesha wema kwa nchi yako, ulimrejeshea Yakobo baraka zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, ulionyesha wema kwa nchi yako. Ulimrejeshea Yakobo baraka zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, umeiridhia nchi yako, Umewarejesha mateka wa Yakobo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, umeifadhili nchi yako; umemjalia Yakobo bahati nzuri tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, ulikuwa umependezwa na nchi yako, tena ulikuwa umerudisha mateka yake Yakobo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, umeiridhia nchi yako, Umewarejeza mateka wa Yakobo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji: Zaburi ya Wakora.