Psalms 85:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fadhili zake na uaminifu vitakutana; uadilifu na amani vitaungana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upendo na uaminifu hukutana pamoja, haki na amani hubusiana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fadhili na kweli zimekutana, Haki na amani zimehusiana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fadhili zake na uaminifu vitakutana; uadilifu na amani vitaungana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Upendo na uaminifu hukutana pamoja, haki na amani hubusiana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upendo na uaminifu hukutana pamoja, haki na amani hubusiana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fadhili na kweli zitakutana, Haki na amani zitakumbatiana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fadhili zake na uaminifu vitakutana; uadilifu na amani vitaungana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upole na welekevu sharti ukutaniane, nao wongofu na utengemano sharti unoneane!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fadhili na kweli zimekutana, Haki na amani zimehusiana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika yeye ni tayari kuwaokoa wanaomuheshimu, na utukufu wake utadumu katika inchi yetu.