Psalms 85:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uaminifu utachipuka katika nchi; uadilifu utashuka toka mbinguni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uaminifu huchipua kutoka nchi, haki hutazama chini kutoka mbinguni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kweli imechipuka katika nchi, Haki imechungulia kutoka mbinguni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uaminifu utachipuka katika nchi; uadilifu utashuka toka mbinguni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uaminifu huchipua kutoka katika nchi, haki hutazama chini kutoka mbinguni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uaminifu huchipua kutoka nchi, haki hutazama chini kutoka mbinguni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kweli itachipuka katika nchi, Haki itachungulia kutoka mbinguni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uaminifu utachipuka katika nchi; uadilifu utashuka toka mbinguni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, welekevu utakavyochipuka katika nchi, wongofu ukiitazama toka juu mbinguni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kweli imechipuka katika nchi, Haki imechungulia kutoka mbinguni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wema na uaminifu vitakutana; haki na amani vitashikamana.