Psalms 85:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, Mwenyezi-Mungu atatuletea fanaka, na nchi yetu itatoa mazao yake mengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naam, hakika Mwenyezi Mungu atatoa kilicho chema, nayo nchi yetu itazaa mavuno yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, Bwana atatoa kilicho chema, Na nchi yetu itatoa mazao yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, Mwenyezi-Mungu atatuletea fanaka, na nchi yetu itatoa mazao yake mengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naam, hakika BWANA atatoa kilicho chema, nchi yetu itazaa mavuno yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naam, hakika bwana atatoa kilicho chema, nayo nchi yetu itazaa mavuno yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, BWANA atatoa kilicho chema, Na nchi yetu itatoa mazao yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, Mwenyezi-Mungu atatuletea fanaka, na nchi yetu itatoa mazao yake mengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana atakapotupa hayo mema tena, ndipo, nchi yetu nayo itakapotupa mazao yake tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, BWANA atatoa kilicho chema, Na nchi yetu itatoa mazao yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uaminifu utachipuka katika inchi; haki utashuka toka mbinguni.