Psalms 85:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uadilifu utamtangulia Mungu na kumtayarishia njia yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haki itatangulia mbele yake na kutengeneza njia kwa ajili ya hatua zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haki itakwenda mbele zake, Nayo itazifanya hatua zake kuwa njia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uadilifu utamtangulia Mungu na kumtayarishia njia yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haki itatangulia mbele yake na kutengeneza njia kwa ajili ya hatua zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haki itatangulia mbele yake na kutengeneza njia kwa ajili ya hatua zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haki itakwenda mbele zake, Na kuzitayarishia hatua zake mapito.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uadilifu utamtangulia Mungu na kumtayarishia njia yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakaokwenda mbele yake ndio wongofu, tena ndio utakaofuata hapo, alipopita, upatengeneze kuwa njia.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haki itakwenda mbele zake, Nayo itazifanya hatua zake kuwa njia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli, Yawe atatuletea baraka, na inchi yetu itatoa mazao yake mengi.