Psalms 85:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umewasamehe watu wako kosa lao; umezifuta dhambi zao zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulisamehe uovu wa watu wako, na kufunika dhambi zao zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umeusamehe uovu wa watu wako, Umezisitiri hatia zao zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umewasamehe watu wako kosa lao; umezifuta dhambi zao zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulisamehe uovu wa watu wako na kufunika dhambi zao zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulisamehe uovu wa watu wako, na kufunika dhambi zao zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umeusamehe uovu wa watu wako, Umezisitiri hatia zao zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umewasamehe watu wako kosa lao; umezifuta dhambi zao zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio ukoo wako ukawaondolea manza, walizozikora, makosa yao yote ukayafunika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umeusamehe uovu wa watu wako, Umezisitiri hatia zao zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, umependelea inchi yako; umerudishia wazao wa Yakobo hali nzuri.