Psalms 85:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, hutatujalia tena maisha mapya, ili watu wako wafurahi kwa sababu yako?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, hutatuhuisha tena, ili watu wako wakufurahie?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Hutaki kurudi na kutuhuisha, Watu wako wakufurahie?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, hutatujalia tena maisha mapya, ili watu wako wafurahi kwa sababu yako?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, hutatuhuisha tena, ili watu wako wakufurahie?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, hutatuhuisha tena, ili watu wako wakufurahie?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Hutaki kurudi na kutuhuisha, Ili watu wako wakufurahie?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, hutatujalia tena maisha mapya, ili watu wako wafurahi kwa sababu yako?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hutatuchangamsha tena, kwa kuturudisha uzimani, walio ukoo wako wakufurahie?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Hutaki kurudi na kutuhuisha, Watu wako wakufurahie?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatukasirikia hata milele? Utadumisha kasirani yako kwa vizazi vyote?