Psalms 85:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hebu nisikie anachosema Mwenyezi-Mungu; maana anaahidi kuwapa watu wake amani, watu wake mwenyewe wasiporudia upuuzi wao
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitasikiliza lile atakalosema Mungu aliye Mwenyezi Mungu; anaahidi amani kwa watu wake, watakatifu wake: lakini nao wasirudie upumbavu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na nisikie atakavyosema Mungu Bwana, Maana atawaambia watu wake amani, Naam, na watauwa wake pia, Bali wasiurudie upumbavu tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hebu nisikie anachosema Mwenyezi-Mungu; maana anaahidi kuwapa watu wake amani, watu wake mwenyewe wasiporudia upuuzi wao
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitasikiliza lile atakalosema Mungu aliye BWANA; anaahidi amani kwa watu wake, watakatifu wake, lakini nao wasirudie upumbavu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitasikiliza lile atakalosema Mungu aliye bwana; anaahidi amani kwa watu wake, watakatifu wake: lakini nao wasirudie upumbavu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na nisikie atakavyosema Mungu BWANA, Maana atawaambia watu wake amani, Naam, na watauwa wake pia, Bali wasiurudie upumbavu tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hebu nisikie anachosema Mwenyezi-Mungu; maana anaahidi kuwapa watu wake amani, watu wake mwenyewe wasiporudia upuuzi wao
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu Bwana atakayoyasema, ninataka kuyasikia, kwani wao walio ukoo wake nao wanaomcha huwaambia maneno yenye utengemano, wasirudie tena ujinga wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na nisikie atakavyosema Mungu BWANA, Maana atawaambia watu wake amani, Naam, na watauwa wake pia, Bali wasiurudie upumbavu tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utuonyeshe wema wako, ee Yawe, utujalie wokovu wako.