Psalms 85:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakika yu tayari kuwaokoa wanaomheshimu, na utukufu wake utadumu nchini mwetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika wokovu wake uko karibu na wale wamchao, ili utukufu wake udumu katika nchi yetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika wokovu wake u karibu na wamchao, Utukufu ukae katika nchi yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakika yu tayari kuwaokoa wanaomheshimu, na utukufu wake utadumu nchini mwetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika wokovu wake uko karibu na wale wamchao, ili utukufu wake udumu katika nchi yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika wokovu wake uko karibu na wale wamchao, ili utukufu wake udumu katika nchi yetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika wokovu wake uko karibu na wamchao, Ndipo utukufu wake ukae katika nchi yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakika yu tayari kuwaokoa wanaomheshimu, na utukufu wake utadumu nchini mwetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli wokovu wake uko karibu kwao wamwogopao, utukufu upate kukaa katika nchi yetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika wokovu wake u karibu na wamchao, Utukufu ukae katika nchi yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninasikiliza yale Yawe anayosema, maana anaahidi kuwapa watu wake amani, watu wake mwenyewe wasiporudilia upumbafu wao.