Psalms 86:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Sala ya Daudi) Unitegee sikio, ee Mwenyezi-Mungu, unijibu, maana mimi ni fukara na mnyonge.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, sikia na unijibu, kwa maana mimi ni maskini na mhitaji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, utege sikio lako unijibu, Maana mimi ni maskini na mhitaji
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unitegee sikio, ee Mwenyezi-Mungu, unijibu, maana mimi ni fukara na mnyonge.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Maombi Ya Daudi) Ee BWANA, sikia na unijibu, kwa maana mimi ni maskini na mhitaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, sikia na unijibu, kwa maana mimi ni maskini na mhitaji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, utege sikio lako unijibu, Maana mimi ni maskini na mhitaji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unitegee sikio, ee Mwenyezi-Mungu, unijibu, maana mimi ni fukara na mnyonge.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, liinamishe sikio lako, uniitikie! Kwani mimi ni mnyonge, hata mkiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, utege sikio lako unijibu, Maana mimi ni maskini na mhitaji
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maombi ya Daudi. Unitegee sikio, ee Yawe, unijibu, maana mimi ni masikini na mukosefu.