Psalms 86:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe ndiwe mkuu, wafanya maajabu; wewe peke yako ndiwe Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana wewe ni mkuu, na unafanya mambo ya ajabu; wewe peke yako ndiwe Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa ndiwe uliye mkuu, Wewe ndiwe mfanya miujiza, Ndiwe Mungu peke yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe ndiwe mkuu, wafanya maajabu; wewe peke yako ndiwe Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana wewe ni mkuu na unafanya mambo ya ajabu; wewe peke yako ndiwe Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana wewe ni mkuu, na unafanya mambo ya ajabu; wewe peke yako ndiwe Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa ndiwe uliye mkuu, Wewe ndiwe mfanya miujiza, Ndiwe Mungu peke yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe ndiwe mkuu, wafanya maajabu; wewe peke yako ndiwe Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wewe u mkubwa, unafanya mataajabu, aliye Mungu niwewe peke yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa ndiwe uliye mkuu, Wewe ndiwe mfanya miujiza, Ndiwe Mungu peke yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ndiwe mukubwa, unafanya maajabu; wewe peke yako ndiwe Mungu.