Psalms 86:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unifundishe njia yako, ee Mwenyezi-Mungu, nipate kuwa mwaminifu kwako; uongoze moyo wangu nikuheshimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, nifundishe njia yako, nami nitaenda katika kweli yako; nipe moyo usiositasita, ili niweze kulicha jina lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, unifundishe njia yako; Nitakwenda katika kweli yako; Moyo wangu na ufurahi kulicha jina lako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unifundishe njia yako, ee Mwenyezi-Mungu, nipate kuwa mwaminifu kwako; uongoze moyo wangu nikuheshimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, nifundishe njia yako, nami nitakwenda katika kweli yako; nipe moyo usiositasita, ili niweze kulicha jina lako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, nifundishe njia yako, nami nitakwenda katika kweli yako; nipe moyo usiositasita, ili niweze kulicha jina lako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, unifundishe njia yako; Nitakwenda katika kweli yako; Moyo wangu na ufurahi kulicha jina lako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unifundishe njia yako, ee Mwenyezi-Mungu, nipate kuwa mwaminifu kwako; uongoze moyo wangu nikuheshimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nifundishe, Bwana, njia yako, niendelee na kweli yako! Ushike moyo wangu, upende moja tu: kuliogopa Jina lako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, unifundishe njia yako; Nitakwenda katika kweli yako; Moyo wangu na ufurahi kulicha jina lako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unifundishe njia yako, ee Yawe, nipate kuwa mwaminifu kwako; uongoze moyo wangu nikuheshimu.