Psalms 86:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Bwana, Mungu wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitatangaza ukuu wa jina lako milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitaliadhimisha jina lako milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitakusifu Wewe, Bwana, Mungu wangu, Kwa moyo wangu wote, Nitalitukuza jina lako milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Bwana, Mungu wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitatangaza ukuu wa jina lako milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitaliadhimisha jina lako milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitaliadhimisha jina lako milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitakusifu Wewe, Ee Bwana, Mungu wangu, Kwa moyo wangu wote, Nitalitukuza jina lako milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Bwana, Mungu wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitatangaza ukuu wa jina lako milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakushukuru, Bwana Mungu wangu, kwa moyo wote na kulitukuza Jina lako kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitakusifu Wewe, Bwana, Mungu wangu, Kwa moyo wangu wote, Nitalitukuza jina lako milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Bwana, Mungu wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitatangaza ukubwa wa jina lako milele.