Psalms 86:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fadhili zako kwangu ni nyingi mno! Umeniokoa kutoka chini kuzimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana upendo wako ni mkuu kwangu; umeniokoa kutoka vilindi vya kaburi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana fadhili zako kwangu ni nyingi sana; Umeiopoa nafsi yangu na kuzimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fadhili zako kwangu ni nyingi mno! Umeniokoa kutoka chini kuzimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana upendo wako ni mkuu kwangu; umeniokoa kutoka kwenye vilindi vya kaburi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana upendo wako ni mkuu kwangu; umeniokoa kutoka kwenye vilindi vya kaburi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana fadhili zako kwangu ni nyingi sana; Umeiopoa nafsi yangu na kuzimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fadhili zako kwangu ni nyingi mno! Umeniokoa kutoka chini kuzimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani upole wako, ulionitolea umekuwa mkubwa, ukaiopoa roho yangu kuzimuni chini ya nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana fadhili zako kwangu ni nyingi sana; Umeiopoa nafsi yangu na kuzimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wema wako kwangu ni mwingi sana! Umeniokoa kutoka katika kuzimu.