Psalms 86:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unigeukie, unihurumie; unijalie nguvu yako mimi mtumishi wako, umwokoe mtoto wa mjakazi wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nigeukie na unihurumie; mpe mtumishi wako nguvu zako, mwokoe mwana wa mjakazi wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unielekee na kunifadhili mimi; Mpe mtumishi wako nguvu zako, Umwokoe mwana wa mjakazi wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unigeukie, unihurumie; unijalie nguvu yako mimi mtumishi wako, umwokoe mtoto wa mjakazi wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nigeukie na unihurumie; mpe mtumishi wako nguvu zako, mwokoe mwana wa mtumishi wako wa kike.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nigeukie na unihurumie; mpe mtumishi wako nguvu zako, mwokoe mwana wa mtumishi wako wa kike.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unielekee na kunifadhili mimi; Mpe mtumishi wako nguvu zako, Umwokoe mwana wa mjakazi wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unigeukie, unihurumie; unijalie nguvu yako mimi mtumishi wako, umwokoe mtoto wa mjakazi wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Rudi upande wangu na kunihurumia! Mpe mtumishi wako nguvu ya kwako! Mwana wa mjakazi wako umwokoe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unielekee na kunifadhili mimi; Mpe mtumishi wako nguvu zako, Umwokoe mwana wa mjakazi wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unigeukie, unihurumie; unijalie nguvu yako mimi mutumishi wako, umwokoe mutoto wa mujakazi wako.