Psalms 86:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unioneshe ishara ya wema wako, ee Mwenyezi-Mungu, ili wale wanaonichukia waaibike, waonapo umenisaidia na kunifariji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nipe ishara ya wema wako, ili adui zangu waione nao waaibishwe, kwa kuwa wewe, Ee Mwenyezi Mungu, umenisaidia na kunifariji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unifanyie ishara ya wema, Wanichukiao waione na kuaibishwa. Kwa kuwa Wewe, Bwana, Umenisaidia na kunifariji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unioneshe ishara ya wema wako, ee Mwenyezi-Mungu, ili wale wanaonichukia waaibike, waonapo umenisaidia na kunifariji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nipe ishara ya wema wako, ili adui zangu waione nao waaibishwe, kwa kuwa wewe, Ee BWANA, umenisaidia na kunifariji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nipe ishara ya wema wako, ili adui zangu waione nao waaibishwe, kwa kuwa wewe, Ee bwana, umenisaidia na kunifariji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unifanyie ishara ya wema, Wanichukiao waione na kuaibishwa. Kwa kuwa Wewe, BWANA, Umenisaidia na kunifariji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unioneshe ishara ya wema wako, ee Mwenyezi-Mungu, ili wale wanaonichukia waaibike, waonapo umenisaidia na kunifariji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nifanyizie kielekezo kinipatiacho mema, wachukivu wangu wakione, waingiwe na soni, kwa kuwa wewe Bwana umenisaidia, ukanituliza moyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unifanyie ishara ya wema, Wanichukiao waione na kuaibishwa. Kwa kuwa Wewe, BWANA, Umenisaidia na kunifariji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unionyeshe kitambulisho cha wema wako, ee Yawe, kusudi wale wanaonichukia wafezeheke, wanapoona umenisaidia na kunifariji.